Joe Biden atangaza Rasmi kugombea Urais 2024, Kamala Harris kuwa Mgombea Mwenza


Hapa ndipo unapofeli, unaweka mahaba mbele kuliko ukweli.
kwani hizo kesi trump anazingiziwa? Juzi fox wamepigwa faini ya karibu tri.2 kwa kuzusha madai ya trump yasiyo na ushahidi ya wizi wa kura. Moja ya kesi alizonazo hizo. Sasa utasemaje anazuiwa wakati makosa alifanya mwenyewe? Kumbuka kwa wenzetu kuna separation of power so biden hawezi kuingilia maamuzi ya mahakama wala kui direct cha kufanya. Kama alifanya makosa atakumbana tu na mkono wa sheria.
 
Acha porojo zako na upotoshaji wewe, utawala wa Biden mpaka sasa haujamfungulia Trump kesi hata moja, na hata hiyo Department of Justice ikimfungulia kesi Trump ni kwa utashi wake na wala sio kwa kuongozwa na Biden, US hawafanyi mambo kama kwenye Banana Republics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…