Joe Biden gives speech in St. Louis mistakenly endorsing Donald Trump who responds 'I agree with Joe'

But when it comes to America’s elections performance of Dow Jones is not the only measure voters use to make their decisions on who to vote.

Hata Coronavirus cases ziongezeke vipi. Kabla ya kura Dow Jones will be hovering above 30,000!
 
Atamfunika kwa kusema uongo and Trump na uongo ni Baba mmoja mama mmoja, lakini ikija kwenye ukweli kuhusu kushindwa vibaya kuidhibiti COVID19 kwa miezi 6 sasa na kusababisha uchumi kuanguka na pia kuwafagilia racists na white supremacy Trump hana chake.
Kama ingekuwa ni Hillary Clinton lazima Trump angekimbia debates. Kwa jinsi alivyochemsha kwenye pandemic. Hillary angetumia mwanya huo kumfunika!

Trump amefanikiwa ku divide USA na anajua anakura nyingi za waupe, kama anavyowaita “silent majority”! Kwenye hii debates anatafuta kura za weusi, Hispanic na wengineo!
Trump anaporudia mara kwa mara amefanya mazuri kwa weusi zaidi ya Obama/Biden kuna watu wanaanza wanaanza kumsikiliza. Wanaweza wasimpe kura Lakini pia hawata mpa Biden!
 
Atamfunika kwa kusema uongo and Trump na uongo ni Baba mmoja mama mmoja, lakini ikija kwenye ukweli kuhusu kushindwa vibaya kuidhibiti COVID19 kwa miezi 6 sasa na kusababisha uchumi kuanguka na pia kuwafagilia racists na white supremacy Trump hana chake.
Sasa ulitaka afanye nini kwenye kuzuia COVID-19. By the way hakuna Mmarekani analaumu natural disaster au pandemic kwa serikali. Hii sio nchi kama nchi ya kumshukuru rais kwa kupeleka kupatwa kwa jua mkoani Mbeya.

Kwanza Biden hana uwezo wowote wa kuongea mbele ya Trump. Hata Trump umpe nusu ya muda wa Biden, hawezi shindwa kwa hoja. Biden ni mtu soft kabisa kwenye kuongea.
 
But when it comes to America’s elections performance of Dow Jones is not the only measure voters use to make their decisions on who to vote.
Employment/ economy ndio kigezo kikubwa kwenye chaguzi nyingi! Na hii Trump amesha prove beyond reasonable doubt kwamba he is the right man!!
Pandemic ndio ingekuwa tatizo kwake lakini Democratic wameshindwa kutumia!

Haya ya social injustice - unfortunately wengi wao wanaweza wasige kura!!
 
Maybe you’re talking about those Americans in chato.

Sasa ulitaka afanye nini kwenye kuzuia COVID-19. By the way hakuna Mmarekani analaumu natural disaster au pandemic kwa serikali. Hii sio nchi kama nchi ya kumshukuru rais kwa kupeleka kupatwa kwa jua mkoani Mbeya.

Kwanza Biden hana uwezo wowote wa kuongea mbele ya Trump. Hata Trump umpe nusu ya muda wa Biden, hawezi shindwa kwa hoja. Biden ni mtu soft kabisa kwenye kuongea.
 
Sasa ulitaka afanye nini kwenye kuzuia COVID-19. By the way hakuna Mmarekani analaumu natural disaster au pandemic kwa serikali. Hii sio nchi kama nchi ya kumshukuru rais kwa kupeleka kupatwa kwa jua mkoani Mbeya.

Kwanza Biden hana uwezo wowote wa kuongea mbele ya Trump. Hata Trump umpe nusu ya muda wa Biden, hawezi shindwa kwa hoja. Biden ni mtu soft kabisa kwenye kuongea.
Ni wazi Trump alichemsha around February,March na April jinsi alivyo shulikia Covid 19. Alitumia muda mwingi kupambana na China na ku play down swala zima! Mfano, Lockdown na test akuzipa kipaumbele!!

Lakini Biden ni soft kwa sababu his cognitive is not intact!! Ukiangalia historia yake ya nyuma alikuwa sio soft!!
 
Kabla ya pandemic, the end of 2019, unemployment rate was around 3.5%.Hii ni lowest kupita kipindi cha Obama. Trump atatumia hizi data ku attack Biden kwa sababu alikuwa kwenye nafasi ya juu utawala uliopita.
Average wage growth kipindi cha Trump imeongezeka maradufu kupita Obama!
Household income imeongezeka kupita Obama!
Blacks employment rate was high kupita Obama.
Ninaelewa kwamba unemployment sasa hivi ni high kwa sababu ya Covid na makosa ya Trump kudharua Coronavirus.
Lakini swala litakuja kati ya Trump na Biden ni nani anaweza kubring it down. Of course data zinamsapoti Trump na anajua kuzitumia vizuri!!
 
The election is about the current events and not about the old news 10 or 12 months ago. What have you done to improve my life standard lately?

You really don’t like Trump..do you?
Okay, Haipingiki kwamba Trump has done a bad job to handle the pandemic.

pandemic ingekuwa inatokea kila mwaka labda Biden angeshinda kwa kura nyingine.
Lakini swala litakuwa ni employment/economy. Ni nani anaweza kufanya vizuri miaka minne ijayo. Hii Trump atapewa kura!!
 
Don’t run away from the TRUTH and FACTS.
The article and video that I shared were not created by BAK.

You really don’t like Trump..are you?
Okay, Haipingiki kwamba Trump has done a bad job to handle the pandemic. Na pandemic ingekuwa inatokea kila mwaka labda Biden angeshinda kwa kura nyingine.
Lakini swala litakuwa ni employment/economy. Ni nani anaweza kufanya vizuri miaka minne ijayo. Hii Trump atapewa kura!!
 
Sera za Biden ni Corana [emoji38][emoji38][emoji38], lakin pamoja na sera yake hiyo atapigwa. Sasa najiuliza isingekuwa corona angefanywaje?
 
Back
Top Bottom