Joe Biden kwenda Israel kesho

Marekani hainaga adui wa peke yake... Maadui wa Marekani ni maadui wa Ulaya... Lakini kwenye nguvu za jeshi wako vyema wale jamaa
Mara ya mwisho Marekani kushinda vita akiwa peke yake ilikua Ni lini?
 
Yaani inawezekana hata hyo aliyefanya mashambulizi amepekekwa na mmarekani ili wapate sababu ya kumpiga mlengwa wao USA mjanja sana.

Vita ni akili,dunia inaendeshwa na wenye akili kwa malengo maalumu
 
Kwa hiyo Tsh 500 billion+ zinaenda kuteketea, safar moja ya rais wa USA gharama yake ni hiyo😕
 
Kwa hiyo Tsh 500 billion+ zinaenda kuteketea, safar moja ya rais wa USA gharama yake ni hiyo[emoji53]
Bila shaka bajeti inategemea na umbali wa safar+mazingira ya nchi husika na si fixed km ulivyotanabaisha
 
Yaani inawezekana hata hyo aliyefanya mashambulizi amepekekwa na mmarekani ili wapate sababu ya kumpiga mlengwa wao USA mjanja sana.
Kituo kinachofuata ni Irani
 
Kuna kitu kibaya sana kitatokea.

Kuna kiongozi wa taifa Fulani anaweza uwawa, hali itakayopelekea mzozo huu kuwa vita kamili itakayosambaa kama moto usambaavyo kwenye majani yaliyokauka.
 
Yaani inawezekana hata hyo aliyefanya mashambulizi amepekekwa na mmarekani ili wapate sababu ya kumpiga mlengwa wao USA mjanja sana.
Hahaha Hamas iliposhambulia Israel mlishangilia sana, sikuona maandamano wala malalamiko. Na Hmas walitoka hadharani wakasema wamejiandaa kwa vita ya muda mrefu, sha,bulio lile walilipanga muda mrefu na walifanikiwa kwa kiasi, ingawa sivyo walivyotaka iwe, walipanga kuiteketeza Israel. Waarabu wa BUZA mlishangilia mkasema Israel ina pigika. Sasa Hivi visingizio vya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…