ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
JOE MAKINI - DAKIKA 90
Nafika home kisha mama yako anakueleza ndani ya hi game umefunikwa na joh makini mwamba wa kasikazini/ utamjibu nini umefanya kweli kiasi ambacho imewapindi kupana lakini mchezo mmeushudia dk 90/ hakuna jinsi nilivyo kukandamiza chini/ na stahili siti ndani ya v.i.p/ toka arusha mimi ndio king kama b.i.g/ nafanya clasic matilio kwenye r.i.p/ sina udasi effects au o.m.p/ na simama joh kama joh makini na nyanyua mafansi mitini/ nawadadisha, nawarusha dakika zote 90
😄😄😚😄😄😄😚😄😚😚😚😚
Mdau unadhani hizi punch ryhems katika verse ya kwanza zilikuwa special kwa msanii gani wa Hip hop Enzi hizi.
Wengine wanadai ni fid q
Vip kwa upande wako #funguka..
Verse (3)
Mimi ndio na ipeleka a city to next level/ ni njaa na mwaminia na sio nguvu za huyo devil/ mimi ni mwanadamu sikosi kuwa na kasoro/ kila siku najiuliza vipi happy kuna kero/ iko right for just dentist ndo na fight for/ vip ufunge mlango na hakuna next door/ mimi ni namba isiyo someka isiopimika/ gift toka kwa mungu/ special kwa watu wa hip hop/
Swali kwa wadau wa ukwaju wa kitambo je? Ni kweli joh makini ni gift special kutoka kwa Mungu kwa mashabiki wa Hip hop...🔥🔥🔥🍻😆😆
#funguka..
Chochote kuhusu joe MAKINI mwamba wa kaskazini toka Enzi hizo akiwa river camp solder hadi leo yupo weusi kampuni..