Joe Makini mwamba wa kaskazini

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173


JOE MAKINI - DAKIKA 90

Nafika home kisha mama yako anakueleza ndani ya hi game umefunikwa na joh makini mwamba wa kasikazini/ utamjibu nini umefanya kweli kiasi ambacho imewapindi kupana lakini mchezo mmeushudia dk 90/ hakuna jinsi nilivyo kukandamiza chini/ na stahili siti ndani ya v.i.p/ toka arusha mimi ndio king kama b.i.g/ nafanya clasic matilio kwenye r.i.p/ sina udasi effects au o.m.p/ na simama joh kama joh makini na nyanyua mafansi mitini/ nawadadisha, nawarusha dakika zote 90


πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜šπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜šπŸ˜„πŸ˜šπŸ˜šπŸ˜šπŸ˜š

Mdau unadhani hizi punch ryhems katika verse ya kwanza zilikuwa special kwa msanii gani wa Hip hop Enzi hizi.

Wengine wanadai ni fid q

Vip kwa upande wako #funguka..

Verse (3)

Mimi ndio na ipeleka a city to next level/ ni njaa na mwaminia na sio nguvu za huyo devil/ mimi ni mwanadamu sikosi kuwa na kasoro/ kila siku najiuliza vipi happy kuna kero/ iko right for just dentist ndo na fight for/ vip ufunge mlango na hakuna next door/ mimi ni namba isiyo someka isiopimika/ gift toka kwa mungu/ special kwa watu wa hip hop/

Swali kwa wadau wa ukwaju wa kitambo je? Ni kweli joh makini ni gift special kutoka kwa Mungu kwa mashabiki wa Hip hop...πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ»πŸ˜†πŸ˜†

#funguka..

Chochote kuhusu joe MAKINI mwamba wa kaskazini toka Enzi hizo akiwa river camp solder hadi leo yupo weusi kampuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…