M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Miaka mingapi kakaa darasani? Au phd ya kugaiwa?Nguli katika Ujasiriamali na ushauri wa Maisha duniani. Ametunukiwa Doctorate Kwa kazi alizofanya nchini na duniani. Asanteni
Wewe unayo?Miaka mingapi kakaa darasani? Au phd ya kugaiwa?
wawapi huyo, kenya?Nguli katika Ujasiriamali na ushauri wa Maisha duniani. Ametunukiwa Doctorate Kwa kazi alizofanya nchini na duniani. Asanteni
Na wewe je?Wewe unayo?
Aseee ehehheehhhKuna tetesi kidogo amrithi Kinana kipindi kile
DuuhKuna tetesi kidogo amrithi Kinana kipindi kile
Chuo kikuu cha Subaru.Chuo gani kimemtunuku
Ova
Mfuatilia itakuwa haumjui jamaa.Jamaa nasikia amewahi kiwa TO. Hicho cha kuongelea mafanikio na malengo ndio ilikuwa njozi yake au ni vitu alivyokutananavyo ukubwani?
Sawa kabisa..Mfuatilia itakuwa haumjui jamaa.
Anaishi kwa passion sema ninekuelewesha umekuja kwa negative thoughts nakuacha hivi hivi.
Ila haijaja bahati mbaya