Joel Nanauka atunukiwa Doctorate

Joel Nanauka atunukiwa Doctorate

Kwann jina la Chuo kapuni
Mwndishi kakurupuka sana inaonekana hana habari kamili. Hiyo picha mwenyewe Joel kaiweka kwenye page yake ya fb. Mwandishi wa sredi kaichukua n kuruka nayo ili awe wa kwanza kuandika humu 😆😆😆
 
Hongera kwa chuo kikuu cha Veridian kwa kumpa heshima hiyo Joel Nanauka.
 
unaleta utani kwenye mambo muhimu.
Unaona ni utani kwa sababu hufatilii mambo ni heri ungetulia.
 
Unaona ni utani kwa sababu hufatilii mambo ni heri ungetulia.
kwenye siasa joel bado si mpevu wa siasa za ccm, kina makonda na vijana wengine wenye kujua mbilinge za chama hicho wanaweza kumrithi kinana kama si wazee wakongwe kina wasira na pinda
 
Back
Top Bottom