Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara).

II. Hii ni kutokana na CV ya Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na speeches za kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.

NAFASI ZA JUU Kwenye Chama na walipotokea.

Mwenyekiti - Unguja, (Dr.),
Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) - Unguja, Mkuranga.;(Dr.),
Makamu Mwenyekiti - Bara, (pendekezo) - Mtwara, (Dr.)
Katibu Mkuu - Ruvuma, (Dr.)
Katibu Mwenezi - Morogoro, CPA.
Mweka Hazina (pendekezo) - Iringa - Mchg. Dr. Msigwa
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?

 
Anapoingia tu sisiemu aelewe nimarufuku kutumia akili😄😄😄
 

Attachments

  • -vbxhui.jpg
    180 KB · Views: 11
Who the fk is he, jina lake ni geni hapa nchini
 
Pole sana chawa, kwanza hana phd so acha kumuita dr, and kaka joel ni mtu mwema sana, hawez jiingiza kwenye mambo kama hayo
 
Hata kama maccm yamekosa watu yameshindwa kumuweka hata mwashamba mpaka yakachukue mamluki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…