Elections 2015 Joel Nanauka: Nyota mpya iliyoibuliwa na CHADEMA Mtwara

Kwann bro
Alijikita kwenye siasa za CCM na CHADEMA lakini isivyo bahati hakufikia malengo, akaona abadili uelekeo ajikite upande mwingine wa kuwa mwandishi wa vitabu na mhamasishaji wa masuala ya maisha kwa ujumla ambako anafanya vizuri sana.
 
Basi kama anafanya vizuri na anasaidia watanzania imekaa vizuri, kila mtu ana talanta yake aliyoandikiwa..ingawa naona bado anapenda siasa
 
Siasa anaipenda ila inaonesha hajapata upenyo wa kufikia malengo na ndoto zake katika uwanja huo.

Mungu alimtunuku talanta ya weledi, maarifa na uwezo mkubwa wa akili asilia ambao umechagiza kuihudumia vema jamii kupitia maandiko na maneno yake.

Amefanyika chachu ya kuhamasisha wengi hususani vijana kwa kuwapa njia mbadala za kufikia malengo yao na kupata nuru na tumaini jipya la kusonga mbele.
 
OK that's great... Je ni kweli anacopy vitabu vya mabeberu na kuvitafsiri kama mdau alivyodai hapo juu?
 
Kwa hilo sijui.
Ila tukumbuke, kwenye uwanja wa elimu, hakuna mwenye kazi ya kitaaluma isiyotegemea mawazo ya wengine.
Kazi za kitaaluma ni sahihi but ye kazi anazozifanya ni za kitaaluma? Which professional?
 
Back
Top Bottom