Joelinton wa New Castle ni basi tena kwenye mpira akutwa na mazito usiku wa kuamkia leo kuna uwezekano akafukuzwa Uingereza na kurudishwa kwao Brazil

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Mchezaji wa newcastle united ya uingereza, raia wa Brazil amekutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa chakari yeye na mrembo aliyeonekana ni kama bidhaa

Ikumbukwe vilabu vikubwa kama Liverpool na Psg vilianza kuvutiwa na uwezo wake ila kwa huu mkasa ndio basi tena.

Media za Uingereza zitakuwa zunalala na kuamkia kwake.

Kwa uingereza ukishakutwa na tukio la kuendesha uku umelewa au kulazimisha ngono unapotea kabisa kwenye soka.

Huyu kijana ametuabisha sana tunaomba vilabu vikubwa visimsajili.
 
Mchezaji wa newcastle united ya uingereza, raia wa Brazil amekutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa chakari yeye na mrembo aliyeonekana ni kama bidhaa....
Hawezi fukuzwa. Benjamin Mendy wa Manchester City ana kesi ya ubakaji wanawake 7 lakini hajafukuzwa kwenye team. Sembuse kulewa tena hata ajali ajasababisha hapo ni fine tu na onyo
 
Drink-driving offence imfanye afukuzwe england??? Are u dumb?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…