uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Mchezaji wa newcastle united ya uingereza, raia wa Brazil amekutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa chakari yeye na mrembo aliyeonekana ni kama bidhaa
Ikumbukwe vilabu vikubwa kama Liverpool na Psg vilianza kuvutiwa na uwezo wake ila kwa huu mkasa ndio basi tena.
Media za Uingereza zitakuwa zunalala na kuamkia kwake.
Kwa uingereza ukishakutwa na tukio la kuendesha uku umelewa au kulazimisha ngono unapotea kabisa kwenye soka.
Huyu kijana ametuabisha sana tunaomba vilabu vikubwa visimsajili.