ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Bado haijachezwa MkuuSiku zinakimbia dah,
Kumbe game ya tot imechezwa Jana?
Msaada kuhusu uwanja mkuu, hivi ni NOU CAMP au CAMP NOU?
EpL Sio ligue bora duniani kwa vigezo vp? Ligue bora ni ipi ss kwa mtizamo wako? La liga au? Mbna hukusema la Liga nayo sio bora pale Madrid walivyobamizwa 4 na hao hao madogo wa Ajax pale Bernabeu?
Msimu huu ni Ligi gani imeingiza timu nyingi robo finali CL?
Vyovyote tu kutamka ukianzia kushoto kwenda kulia au ukianzia kulia kwenda kushoto ni sawaMsaada kuhusu uwanja mkuu, hivi ni NOU CAMP au CAMP NOU?
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha[emoji847][emoji1787]EpL Sio ligue bora duniani kwa vigezo vp? Ligue bora ni ipi ss kwa mtizamo wako? La liga au? Mbna hukusema la Liga nayo sio bora pale Madrid walivyobamizwa 4 na hao hao madogo wa Ajax pale Bernabeu?
Msimu huu ni Ligi gani imeingiza timu nyingi robo finali CL?
Mpira wa LA liga na EPL unazidiana...kumbuka Real Madrid vs Liverpool uefa iliyopitaSasa ww kwa akili yko unaona mpira wa Totenham unafanana na wa Liverpool? Vile vile Totenham alikuwa anamiss key players kama Kane na Son, huwezi fananisha mpira kwa style hyo kila game iko tofauti na inajitegemea!
Barca anachukua ndoo,Ajax mwepesi sana kwa Mesi
Endelea kuota. Barca anapigwa nje ndani..