Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona.

Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao watakavyo sumbuka Leo

Na hapo ndiyo tunaendelea kuthibitisha kuwa EPL sio ligi bora duniani

Tuanze tu kuiweka vichwani fainali ya Mei 19 kuwa ni Ajax vs Barcelona.
 
Sasa ww kwa akili yko unaona mpira wa Totenham unafanana na wa Liverpool? Vile vile Totenham alikuwa anamiss key players kama Kane na Son, huwezi fananisha mpira kwa style hyo kila game iko tofauti na inajitegemea!
 
EpL Sio ligue bora duniani kwa vigezo vp? Ligue bora ni ipi ss kwa mtizamo wako? La liga au? Mbna hukusema la Liga nayo sio bora pale Madrid walivyobamizwa 4 na hao hao madogo wa Ajax pale Bernabeu?

Msimu huu ni Ligi gani imeingiza timu nyingi robo finali CL?
 
Epl ligi bora kwa vigezo vipi?
 
EpL Sio ligue bora duniani kwa vigezo vp? Ligue bora ni ipi ss kwa mtizamo wako? La liga au? Mbna hukusema la Liga nayo sio bora pale Madrid walivyobamizwa 4 na hao hao madogo wa Ajax pale Bernabeu?

Msimu huu ni Ligi gani imeingiza timu nyingi robo finali CL?
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha[emoji847][emoji1787]
 
Sasa ww kwa akili yko unaona mpira wa Totenham unafanana na wa Liverpool? Vile vile Totenham alikuwa anamiss key players kama Kane na Son, huwezi fananisha mpira kwa style hyo kila game iko tofauti na inajitegemea!
Mpira wa LA liga na EPL unazidiana...kumbuka Real Madrid vs Liverpool uefa iliyopita
 
Back
Top Bottom