Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Nashukuru kwa wote mlionielewa nilivyoleta post hii na nawasamehe wote hasa yule aliyetoa maneno ya kashfa kwangu na family yangu...namweleza tu michezo ni furaha sio matusi
VIVA Barca na Messi atabaki kua Juu,huko tuendako bado sijamwona Wa kumzuia Barcelona
 
Messi ni mchezaj ambae ana kila kitu, kwanza akiwa na mpira anatulia, hapotez mpira kizembe, anaangalia yupi ampasie ndio maana mipira yake mingi ni ya hatar., then anapiga chenga na anajua kufunga.. huyu kiumbe mwachen asee anasaidia na viungo pia [emoji119][emoji119]
 
Ninachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
Kweli wewe saa mbovu
 

Ilikuwa tuwafumue goli tano hao madogo, sema tu dembele katuangusha..nafasi mbili kapewa na Messi afunge kashindwa...
 
Man city ilifurushwa na Totenham Hotspurs unawezaje kutetea hoja yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…