BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Hahahahaha ni maoni yangu tu mkuu. Jana Liver pamoja na kocha kuvuruga kikosi lakini pia hawakuwa na bahati.
Alafu mmebebwa sana ila pamoja na hayo h
Tumewafumua....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha ni maoni yangu tu mkuu. Jana Liver pamoja na kocha kuvuruga kikosi lakini pia hawakuwa na bahati.
Mie siyo liver wala barca mkuu.Alafu mmebebwa sana ila pamoja na hayo h
Tumewafumua....
Mlisema anakufa Nou Camp sasa hivi mshageuza eti anfield [emoji23] [emoji23] mumfunge barc 4-0 kwa kikosi kipi?? Mkubali tu liver msimu huu kubeba kikombe chochote labda waibe
Ile freekick ilibidi klop atabasamu 😀
muwe na akiba ya manenoNinachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
na aseme yuko mkoa gani mana nshandaa nauli nione tako lakeVua nguo wewe acha kuzuga
Umeshavua?Barca ina udhaifu.
Ikishinda leo navua nguo.
Huwezi linganisha uwezo Wa messi na yeyote yule.Messi ni extra ordinaryMessi hawezi kuwa sawa na Ronaldo hata iweje nimeangalia attempt ya mwisho ambayo ousmane dembele anakosa mess kuonyesha anaujua mpira anaamua kumpasia Dembele kwa ustadi mkubwa
Lakini angekuwa Ronaldo angepiga mshuti pale
HahahaMlisema anakufa Nou Camp sasa hivi mshageuza eti anfield [emoji23] [emoji23] mumfunge barc 4-0 kwa kikosi kipi?? Mkubali tu liver msimu huu kubeba kikombe chochote labda waibe
Kweli wewe saa mbovuNinachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
Mnavyonishambulia utafikiri nilisema lazima iwe hivyo.Kweli wewe saa mbovu
Messi ni mchezaj ambae ana kila kitu, kwanza akiwa na mpira anatulia, hapotez mpira kizembe, anaangalia yupi ampasie ndio maana mipira yake mingi ni ya hatar., then anapiga chenga na anajua kufunga.. huyu kiumbe mwachen asee anasaidia na viungo pia [emoji119][emoji119]
Hawa jamaa hawachomoki wakija AnfieldUmeshavua?
Man city ilifurushwa na Totenham Hotspurs unawezaje kutetea hoja yako?Yaani toterham kang'ang'ania hukumu isiyo muhusu anaenda kufa Tena hko Netherlands ,MAN CITY ingepita ungeona mziki wake maana man city wana formation moja hatari yaan wanashambulia hujapata kuona na mbinu pekee ya kujilinda syo kupaki Basi hapana Bali n kushambulia nakuhakikishia MAN CITY ISINGEPIGWA 3-0 hyo Nina uhakika nayo 100%
Bado hii kitu inaitwa Ajax.Hawa jamaa hawachomoki wakija Anfield
Ngoma bado