interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Nimepitia comments zote kwenye hii thread, siwezi kusema Liverpool tumemtoa Barca kwa sababu ya uwezo wetu.
Isipokuwa kuna vitu vinne vimetokea:-
Achekaye mwisho ndiye mshindi, poleni wale wanazi mlioidhihaki Liverpool, fainali hiyoooo!
- Barca ali-relax sana baada ya kuwa na magoli 3 first leg, akaamini kwamba haiwezekani afungwe 4. Hii ilimtokea hata kwa As Roma mwaka jana, alitangulia 4 - 1 kwake, akapigwa 3 bila ugenini.
- Liverpool waliingia bila Salah wala Firmino, ambao ni regulars na key players, replacement zao zilifanya kitu tunaita "next man up", na hii pia ni moja ya sababu za Barca kurelax kwamba hatari hazipo.
- Liverpool aliingia akiwa hana pressure, alishajua game ni ngumu na ni kama ameshapoteza, hii iliwasaidia sana psychologically, maana unacheza ukiwa huna mzigo wa deni.
- Anfield ni 12th player, Anfield ni uwanja wa machinjio linapokuja swala UEFA.
Messi atabaki kutuangalia kwenye TV tukiwa Madrid.

Wewe jamaa mpira unaufahamu vizuri sana hauna mihemko Hongera sana michango yako ya kimichezo humu jamvini iko wazi na mizuri sana yenye ukweli
Big up sana
View attachment 1091473
Pamoja sana mkuu, hii picha imenifurahisha sana, huyu kiumbe ni tatizo.
Angalau na sisi tumempa kitu cha kuikumbuka Anfield kwenye career yake.
For straight 3 seasons Barca ameondolewa in almost the same fashion:
Away fields have been a nightmare to Barcelona, it probably is psychological issue than anything else.
- 2017 vs Juventus, first leg 3 - 0; second leg 0 - 0. This had Messi, Suarez and Neymar going 180 minutes without a goal. Na hii ni same period walifanya comeback ya 4 - 0 vs PSG kwa 6 - 1.
- 2018 vs As Roma, first leg anashinda 4 - 1 home, away analala 3 - 0.
- This one analala away 4 - 0.
Messi needs one more UEFA before he retires, and this away thing is one hurdle he needs to overcome. Without this, ata-retire bila UCL nyingine.
All in all, he is our FIFA player of the year msimu huu. Labda Liverpool achukue UEFA VVD anaweza akamchallenge, hasa ukichukulia jinsi FIFA wanavyotaka kufanya diversity kwamba isiwe Messi na Ronaldo tena.

Kabisa mpaka Mimi nimefikiria akiwa mjanja aende kuungana na Pep guardiola pale city maybe watapata wote pamoja UCL
Barcelona fans in Tanzania say Messi will continue to play until he is 45 years old!!
Messi kuondoka Barca ni ngumu, itabidi itengenezwe timu ya kumzunguka ambayo ni reliable.
Halafu ni very unexplainable, 4 - 0, 3 - 0 2017, 3 - 0 2018 na 4 - 0 2019 ni too much and not acceptable kwa Barca yenye Messi, hata kama yuko aged.
Bado unasinzia tu.Amka!..Nasinzia nikikuwaza NAMELESS
Kavunjwa yeye sasa.Barca 2-0
Messi leo lazima avunje mtu kiuno...
mungu wako mesi ndivo alivokuambia?kamuulize mungu wako imekuaje tena?mbona umeshindwa na looserpool?ha ha haaaFinal ni Barca na Ajax