Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Mawatu yanamuabudu Andunje kuwa ndiye mungu mtu wa soka duniani haha... [emoji57]

Messi wa kawaida saaaana...niliwaambia humu Watu Alhamisi iliyopita kuwa Mo Salah alicheza sana mpira Liverpool ilipofungwa 3-0 Nou Camp kuliko Messi, nilioga matusi tupu humu.

Hongereni sana Liverpool kwa kuidhihirishia dunia kuwa lolote linawezekana na Mungu muumba mbingu na nchi ndiye anayestahili sifa kuitwa Mungu siyo Messi"Andunje"[emoji851]
Nimepitia comments zote kwenye hii thread, siwezi kusema Liverpool tumemtoa Barca kwa sababu ya uwezo wetu.

Isipokuwa kuna vitu vinne vimetokea:-
  1. Barca ali-relax sana baada ya kuwa na magoli 3 first leg, akaamini kwamba haiwezekani afungwe 4. Hii ilimtokea hata kwa As Roma mwaka jana, alitangulia 4 - 1 kwake, akapigwa 3 bila ugenini.
  2. Liverpool waliingia bila Salah wala Firmino, ambao ni regulars na key players, replacement zao zilifanya kitu tunaita "next man up", na hii pia ni moja ya sababu za Barca kurelax kwamba hatari hazipo.
  3. Liverpool aliingia akiwa hana pressure, alishajua game ni ngumu na ni kama ameshapoteza, hii iliwasaidia sana psychologically, maana unacheza ukiwa huna mzigo wa deni.
  4. Anfield ni 12th player, Anfield ni uwanja wa machinjio linapokuja swala UEFA.
Achekaye mwisho ndiye mshindi, poleni wale wanazi mlioidhihaki Liverpool, fainali hiyoooo!

Messi atabaki kutuangalia kwenye TV tukiwa Madrid.
 
Wewe jamaa mpira unaufahamu vizuri sana hauna mihemko Hongera sana michango yako ya kimichezo humu jamvini iko wazi na mizuri sana yenye ukweli

Big up sana
IMG_1952.JPG
 
View attachment 1091473

Pamoja sana mkuu, hii picha imenifurahisha sana, huyu kiumbe ni tatizo.

Angalau na sisi tumempa kitu cha kuikumbuka Anfield kwenye career yake.

For straight 3 seasons Barca ameondolewa in almost the same fashion:

  1. 2017 vs Juventus, first leg 3 - 0; second leg 0 - 0. This had Messi, Suarez and Neymar going 180 minutes without a goal. Na hii ni same period walifanya comeback ya 4 - 0 vs PSG kwa 6 - 1.
  2. 2018 vs As Roma, first leg anashinda 4 - 1 home, away analala 3 - 0.
  3. This one analala away 4 - 0.
Away fields have been a nightmare to Barcelona, it probably is psychological issue than anything else.

Messi needs one more UEFA before he retires, and this away thing is one hurdle he needs to overcome. Without this, ata-retire bila UCL nyingine.

All in all, he is our FIFA player of the year msimu huu. Labda Liverpool achukue UEFA VVD anaweza akamchallenge, hasa ukichukulia jinsi FIFA wanavyotaka kufanya diversity kwamba isiwe Messi na Ronaldo tena.
 
Kabisa mpaka Mimi nimefikiria akiwa mjanja aende kuungana na Pep guardiola pale city maybe watapata wote pamoja UCL
 
Barcelona fans in Tanzania say Messi will continue to play until he is 45 years old!!
 
Kabisa mpaka Mimi nimefikiria akiwa mjanja aende kuungana na Pep guardiola pale city maybe watapata wote pamoja UCL

Messi kuondoka Barca ni ngumu, itabidi itengenezwe timu ya kumzunguka ambayo ni reliable.

Halafu ni very unexplainable, 4 - 0, 3 - 0 2017, 3 - 0 2018 na 4 - 0 2019 ni too much and not acceptable kwa Barca yenye Messi, hata kama yuko aged.
 
Ni kweli haielezeki vizuri ila yawezekana pia mwalimu ni Tatizo kwa namna moja au nyingine
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Back
Top Bottom