Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Dembele kanikera sanaMessi hawezi kuwa sawa na Ronaldo hata iweje nimeangalia attempt ya mwisho ambayo ousmane dembele anakosa mess kuonyesha anaujua mpira anaamua kumpasia Dembele kwa ustadi mkubwa
Lakini angekuwa Ronaldo angepiga mshuti pale
Hawa mashabiki wa liver wanashda gan? Yaan bado wanamatumaini kuendelea final? Shida iliyopo n kwamba liver Hana uwezo wa kuizuia Barca isipate goli hyo haiwezekan kabsaaa Barca kutoka bila goli hvyo hata iweje liver hawezi kuitoa Barca nimemaliza. MWENGE HAUVUKI KIJIJI SPAIN KWENYE SWALA LA UEFA NI HABARI NYINGINE[emoji23][emoji23] mkuu,mie nakwambia liverpool out,poleni.
SawaBarca ana nyooshwa leo
Vua nguo wewe acha kuzugaHawa Mafia
Hawachomoki Anfield
Vua nguo wewe acha kuzugaHawa Mafia
Hawachomoki Anfield
Barca ina udhaifu.
Ikishinda leo navua nguo.
Tutarudi hapa after 90 minutes.
Liver hatokufa chini ya goli 3.
Greatest Of All Time
View attachment 1085891
Hahaha utani wa ngumi huu[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji1787]Jogoo kanyeshewa kageuka kuwa njiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baka huyo huyo alipigwa nusu fainali na man u 2008, Baca bora kabisa ambayo haijawah kutokea na wala haitatokea ilipigwa na inter nusu fainal 2010...mbna unataka kutuaminisha hewa
Wengi wanahisi Barca ni ileile ya kina Xavi Iniesta, Ukweli ni kwamba Barca ya sasa ya kawaida sana na Liverpool ana uwezo wa kuifunga vizuri. Hii Barca ya sasa ni Messi tu.
N. B. :
USIBISHANE NA MIMI KAMA HUWA UNAANGALIA EL CLASSICO TU.
Unaykumbuka lakini maneno yako kama Wenje ananilalamikia uchaguziNdio hivyo tena!!!
Fainal Baca v/s Totenham
Wakuu nimebet laki 2 liver anashinda
Mzee baba recod huwa zinavunjwa, yaan kiufupi recod zipo ili zivunjwe, ninawaaminia majogoo ila sjawa-underestimate barca....lolote laweza kutokea ila kur yangu nawapa majogoo
Barca ina udhaifu.
Ikishinda leo navua nguo.
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Wewe unaujua mpira vyema na ulisema ukweli kabisaaaNdugu zangu habari za jioni naomba kuwasiliana Kama ifuatavyo Kwanza mm n shabiki wa arsanal kwa epl na kwa ligu dunian Basi n real Madrid. Naomba ieleweke na iwe Kama inavyoeleweka kuwa tmu kubwa za Spain nkimaanisha Barca,real Madrid,na atletical m,hzo tmu zikishafikaga nusu fainal Moja wapo uje lazma iingie fainal EPL n ligi Bora dunian lakn barca, Madrid Ni Bora zaidi kuliko tmu zote za England haswa kwenye swala la uefa hzo tmu hzifai zikishafka semi final mkitaka mzitoe Basi jitahdin huku chini kabsaa kabla hazijafka hko juu. Nasema mwenge hairuki Kijiji na uefa inawenyewe na wenyewe n Spain. Liver anakufa nje ndani na ajax anaenda kufa fainal. Nimemaliza tukutane leo camp nou.