Ndugu zangu habari za jioni naomba kuwasiliana Kama ifuatavyo Kwanza mm n shabiki wa arsanal kwa epl na kwa ligu dunian Basi n real Madrid. Naomba ieleweke na iwe Kama inavyoeleweka kuwa tmu kubwa za Spain nkimaanisha Barca,real Madrid,na atletical m,hzo tmu zikishafikaga nusu fainal Moja wapo uje lazma iingie fainal EPL n ligi Bora dunian lakn barca, Madrid Ni Bora zaidi kuliko tmu zote za England haswa kwenye swala la uefa hzo tmu hzifai zikishafka semi final mkitaka mzitoe Basi jitahdin huku chini kabsaa kabla hazijafka hko juu. Nasema mwenge hairuki Kijiji na uefa inawenyewe na wenyewe n Spain. Liver anakufa nje ndani na ajax anaenda kufa fainal. Nimemaliza tukutane leo camp nou.