Jogoo ananiogopesha jamani

Jogoo ananiogopesha jamani

Richbest

Senior Member
Joined
May 23, 2011
Posts
101
Reaction score
24
habari wadau nimekuwa na tatizo ktk kufanya mapenzi na kushindwa kusimamisha uume au namaliza mapema sana tena goli moja tu nkaenda kwa dr akaniambia sina tatizo ila huwa nakamia tu sasa je nifanyaje ili hili tatizo lisijirudie na nisikamie tena maana huwa hadi nashindwa kufanya kabisa kitu inalala tu asanteni
 
Uache kukamia.
Utaifanyisha kazi hiyo hadi ichoke kabisa, una haraka ya kwenda wapi? Una target number ya kufikisha?
Kwanza jifunze kuringa na mwili wako. Na uwaambie hao wadada jembe langu bado jipya msinizeeshe bure.
 
kitukiki lala niite nije nikusaidie ya kwangu hailali. hatakama inausingizi itaamkatu chezea k
 
Pole,watakuja kukushauri cha kufanya.
 
Sometimes tutumie akili kuweka mambo sawa.we unadhan kwa kauli yako hii unamsaidia nin huyu jamaa km sio kumuongezea mawazo tu?@mapolomoko
 
acha kukamia na pia jitahidi kufanya mazoezi....
 
pre-mature ejaculation is mostly a psychological problem..

simple advice: ondoa mawazo kwenye tendo wakati wa kufanya!
 
Uache kukamia.
Utaifanyisha kazi hiyo hadi ichoke kabisa, una haraka ya kwenda wapi? Una target number ya kufikisha?
Kwanza jifunze kuringa na mwili wako. Na uwaambie hao wadada jembe langu bado jipya msinizeeshe bure.

nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom