habari wadau nimekuwa na tatizo ktk kufanya mapenzi na kushindwa kusimamisha uume au namaliza mapema sana tena goli moja tu nkaenda kwa dr akaniambia sina tatizo ila huwa nakamia tu sasa je nifanyaje ili hili tatizo lisijirudie na nisikamie tena maana huwa hadi nashindwa kufanya kabisa kitu inalala tu asanteni