Mr mussa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 296
- 456
Ndio, mara nyingi naamua jambo ambalo kwake atakataa. Ili iwe sababu ya kutofanya tena.
Kwa mfano namuomba jicho ingawa mimi si mla jicho. Tukishindwana sibembelezi ili asinigundue.
Hao ni mademu tofauti tofauti.
Du pole mkuu wanasema inatakiwa kuondoa stress kuwa free unapokuwa na mpenz wako