Jogoo hakuwika mjini

Jogoo hakuwika mjini

Alikuandaa kabla ya shuguli? alikuwa msafi? hivi pia huwa vinachangia tukio kama hilo

Pls note: hata mwanaume anaadaliwa kabla ya shuguli.

thats my gal. nimedo ze nidiful binamu! vipi kuku bado wanakimbia kimbia eeh?
 
leo nipo yaeda chini...nimekuja kunywa supu ya nyanyi

duh..nakuonea wivu..hebu fanya utaratibu wa kkausha kidogo uniwekee nikija walau na mi nijinome 'over'
 
nimecheki nipo freshi, hata nikipita threads za mambo ya kikubwa, naona system zote zinafanya kazi... lakini jana.. aisee sijui nikwambiaje
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!😀
 
aibu, mwombe nafasi ya pili! ila sijui kama atakubali!
 
Busu baada ya busu, tukajikuta katika hoteli moja, tukiwa uchi.

Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi
hapo kaka ulifulia! kumbe haukupanga ila ulijikuta tu! siku nyingi fanyeni maandalizi! pangeni kama mnataka kumegana!
 
thats my gal. nimedo ze nidiful binamu! vipi kuku bado wanakimbia kimbia eeh?
Si unajua tena binamu kuku wa kienyeji ni mwiko kumkuta bandani saa mbili asubuhi wako nje wanaranda randa tu, hivi binamu tunataniana siku hizi mbona hukutokea?
 
Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi.

Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena. katika mazungumzo nikagundua kuwa hata yeye alikuwa ananipenda na alikuwa aliogopa kusema. Basi tukawa tunakutana kila jioni na kuongea tu.

Jana tulikutana tukawa tunapiga stori maeneo ya coco beach, tukiwa ndani ya gari.

Sijui aligeuka kusema nini, nikampiga busu na tukaanza kupigana mabusu.

Busu baada ya busu, tukajikuta katika hoteli moja, tukiwa uchi.

Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi

Ikabidi nimpeleke kwao bila ya kufanya jambo lolote.

Sasa imefika saa sita hajawasiliana na mimi... nina wasiwasi

Je nimwambie nini?

Ni mara ya kwanza hili limenitokea, je ni jambo la kawaida.

Mwanamke atanielewa ama ndo imetoka?

Naomba ushauri
Kumbe its you guys i saw kissing in that red car lol! the chic is paying if you noo wora amseying! Call her brother, call her, otherwise ndo atakuona si riziki kabsaa.
 
Si unajua tena binamu kuku wa kienyeji ni mwiko kumkuta bandani saa mbili asubuhi wako nje wanaranda randa tu, hivi binamu tunataniana siku hizi mbona hukutokea?

machale, naendelea na mazoezi yasijenikuta ya soulbrother hapa lol....

so nikishajiamini nitanza mbio tu mi nayeye hadi kieleweke binamu...mrushie rushie mahindi na majani majani....
 
Jana tulikutana tukawa tunapiga stori maeneo ya coco beach, tukiwa ndani ya gari.

Sijui aligeuka kusema nini, nikampiga busu na tukaanza kupigana mabusu.

Busu baada ya busu, tukajikuta katika hoteli moja, tukiwa uchi.
Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi

Ikabidi nimpeleke kwao bila ya kufanya jambo lolote.

Mhh... Hapo kuna tatizo mabusu yote hayo na Jogoo kagoma!!! Nenda kamuona Dr haraka iwezekanavyo...Pale pale kwenye gari Jogoo alitakiwa kuleta ishara za kutaka kuwika!!!
 
Did the nidi ful, pumba, mahindi na maji havichezi mbali Binamu tena wakati unaendelea na mazoezi ya mbio utamkuta mnono kweli, ha ha ha ha.
 
Alikuwa rafikindugu wa muda mrefu na mkapotezana jana umempeleka sehem tulivu ili iwe nini ili hali ni rafikindugu? Dhamira yako mbaya ilidhihiri mapema kwenye busu unaloliita la bahati mbaya. Kujikuta mpo uchi je na mkeo au mchumbako. Achana na zinaa na sitarajii mwanajamvi awe muasherati usimpotezee muda bint wa watu mshauri apate mume mwema atulie. Vinginevyo kama ana mume kategwa huyo bahati yako njema jogoo kakuokoa UNGEOTA MANYOYA YA MBWA.
 
Mhh... Hapo kuna tatizo mabusu yote hayo na Jogoo kagoma!!! Nenda kamuona Dr haraka iwezekanavyo...Pale pale kwenye gari Jogoo alitakiwa kuleta ishara za kutaka kuwika!!!

unamshauri akamuone dr manyuki?
 
duh..nakuonea wivu..hebu fanya utaratibu wa kkausha kidogo uniwekee nikija walau na mi nijinome 'over'

roja roja.....unapendelea maeneo ya 'papa alfa juliet alfa' au 'kilo india delta alfa romeo india?'...over
 
lol..roja roja unanisoma? enhee..'papa alfa juliet alfa' ndo mwake,, over,
 
Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi.

Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena. katika mazungumzo nikagundua kuwa hata yeye alikuwa ananipenda na alikuwa aliogopa kusema. Basi tukawa tunakutana kila jioni na kuongea tu.

Jana tulikutana tukawa tunapiga stori maeneo ya coco beach, tukiwa ndani ya gari.

Sijui aligeuka kusema nini, nikampiga busu na tukaanza kupigana mabusu.

Busu baada ya busu, tukajikuta katika hoteli moja, tukiwa uchi.

Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi

Ikabidi nimpeleke kwao bila ya kufanya jambo lolote.

Sasa imefika saa sita hajawasiliana na mimi... nina wasiwasi

Je nimwambie nini?

Ni mara ya kwanza hili limenitokea, je ni jambo la kawaida.

Mwanamke atanielewa ama ndo imetoka?

Naomba ushauri

kwenye redi hapo yani mlijikuta ghafula kama ya daraja la sarender au maana uelezi kwamba mlikwenda unasema mlijikuta mpo
 
unamshauri akamuone dr manyuki?

usisahau dr nipo hapa pia itabidi waje wote wawili kwa nyakati tofauti kwani tatizo linaweza kuwa nakwamwanamke pia kwa msaada zaidi tuwasiliane
 
Dr. twin wangu anaumwa iweje ukashindwa kumsaidia???
 
Back
Top Bottom