Jogoo hana hawara

Tanga wako soo laid back... Daladala inasimama kwenye junction anasubiriwa mtu mwisho wa mtaa...anatembea dk 3-4 anaikaribia daladala anaulizwa "weendaa? " Anajibu "akuu wala siendii mie navuka huko ng'ambo.." Then anasubiriwa avuke ndio daladala inaondoka.
 
Hii Kitu Hata Morogoro walikua nayo miaka ya 2010 hadi 2015 sijui Kama waliacha Huu ukichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…