Jogoo hasimami asubuhi

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Ni kijana 27 yrs, hilo tatizo limenikumba mwezi na nusu sasa. Kila ninapoamka asubuhi jogoo kalala tu imefika wakati naogopa kukutana na mtu wangu nikiogopa kudhalilika. Msaada tafadhali.

Cc: MziziMkavu
<<<<USHAURI>>>>

 
Una msongo wa mawazo! Punguza hizo ni mbaya
 
Hiyo ni njia salama ya uzazi wa mpango kwa mke wako.
 
Kunywa maji mengi kabla ya kulala, yanaleta usumbufu wa kuamka kwenda msalani lakini yanasaidia body hydration. Mwili ukipungukiwa na maji hata BP inashuka. Kingine ni kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi.
 
tupe kidogo historia yako? umeoa? km bado ama teyare siku za karibuni ushapita na mke wa mtu? km ndiyo..pole lkn km siyo..jitahid kufanya mazoez..kula matunda kwa wingi bila kusahau maji!...pole lkn maana mmh!
 
mazoezi kegel principal search ni mara moja tu
 
Pole sana bwana mdogo.....
Ukubwa wa tatizo ni vile wewe unavyolichukulia.......haikupaswi kukariri kuwa kila ukiamka asubuhi lazima mlingoti usimame.....inategemea wakati upo kwenye wakati gani kifikra......
Suala lote linalohusiana na ngono linataka utayari kifikra na kimwili....

Mimi enzi zangu nilikaa kwa muda wa mwaka mzima bila ya mlingoti kuamka asubuhi....lakini nilijuwa kuwa napitia hayo kwa kuwa nilikuwa nakabiliwa na mambo magumu....ni kama mtalimbo ulikwa likizo.....
Lakini nikija kuuwesha bado makali yapo pale pale.....

Usipanic kijana....kujua tatizo ndio mwanzo wa kulitatua tatizo.....lakini nina hakika kuwa tatizo lako lipo kifikra zaidi na wala sio kiuhalisia kama vile ambavyo wewe unataka kulipeleka......au kulikuza.....

Bwaga moyo wako na ujitahidi kufurahia wakati pamoja na ndugu jamaa na marafiki......usiweke vitu moyoni....usijinyime raha kwa jambo lililo nje ya uwezo wako.....
Justi chill....and relaaaaxx......

Life is so simple....why complicate it....!???
 
Kunywa maji mengi kabla ya kulala, yanaleta usumbufu wa kuamka kwenda msalani lakini yanasaidia body hydration. Mwili ukipungukiwa na maji hata BP inashuka. Kingine ni kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi.
Wewe binti wewe!!! Majogoo yetu yanakuhusu nini wewe binti mpaka unaingilia kutoa ushauri?
 
Huwa nakukubali sana mkuu,Mara nying nikiona jina lako huwa sipiti bila kusoma comment yako maana najua kuna kitu nitaambulia..Big up sana NA ulichokiongea inawezkana ikawa source maana hapa nilipo nipo kwwnye transition period ktk maisha yangu nikiwa NA mawazo tele kwa kichwa changu pengine inawwza kuwa ni chanzo......All in all keep it up bro! I always appreciates ur contributions to all members of Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…