Jogoo hasimami asubuhi

Jogoo hasimami asubuhi

Mh........haya wajuzi changieni tunasikiliza
 
Pole sana bwana mdogo.....
Ukubwa wa tatizo ni vile wewe unavyolichukulia.......haikupaswi kukariri kuwa kila ukiamka asubuhi lazima mlingoti usimame.....inategemea wakati upo kwenye wakati gani kifikra......
Suala lote linalohusiana na ngono linataka utayari kifikra na kimwili....

Mimi enzi zangu nilikaa kwa muda wa mwaka mzima bila ya mlingoti kuamka asubuhi....lakini nilijuwa kuwa napitia hayo kwa kuwa nilikuwa nakabiliwa na mambo magumu....ni kama mtalimbo ulikwa likizo.....
Lakini nikija kuuwesha bado makali yapo pale pale.....

Usipanic kijana....kujua tatizo ndio mwanzo wa kulitatua tatizo.....lakini nina hakika kuwa tatizo lako lipo kifikra zaidi na wala sio kiuhalisia kama vile ambavyo wewe unataka kulipeleka......au kulikuza.....

Bwaga moyo wako na ujitahidi kufurahia wakati pamoja na ndugu jamaa na marafiki......usiweke vitu moyoni....usijinyime raha kwa jambo lililo nje ya uwezo wako.....
Justi chill....and relaaaaxx......

Life is so simple....why complicate it....!???

Nice advise
 
Ni kijana 27 yrs, hilo tatizo limenikumba mwezi na nusu sasa. Kila ninapoamka asubuhi jogoo kalala tu imefika wakati naogopa kukutana na mtu wangu nikiogopa kudhalilika. Msaada tafadhali.
<<<<USHAURI>>>>
Ushauri 1.Kama upo Dar jisalimishe kwa Makonda akusaidie nauli uhame mkoa wake.
Ushauri 2. Washa mshumaa na dondoshea jogoo lako yale mafuta wakati mshumaa unaendelea kuwaka. Jogoo akiamka fahamu huna tatizo, jogoo akiendelea kulala, uanze kuvaa mavazi ya "she".
 
very simple panda gari nenda Manyara Kwa njia ya Arusha Ktkt ya Makuyuno na Babati kuna mahali panaitwa KCMC ........ uko babu hapo Kiboko unaingizwa zizini na beberu Mweusi. Usiache kutuketea Mrejesho
 
Mbona mimi Huwa haisimami asubuhi ni usiku tyuu kwa mfano nikiamka kwenda kukojoa huwa imesimama tatizo Watu wanakariri sio lazima asubuhi yawezekana usiku ilisimama ukiwa hujitambui ondoa uoga
 
Back
Top Bottom