FundiNgoma
Senior Member
- Dec 26, 2019
- 136
- 273
Acha vitisho!Acha kumsaliti mkeo , jiulize angekuwa anakusaliti alafu ugundue maumivu hayo hata yeye anaumia.
Rudi nyumbani ukatulie na mkeo , utabeba magonjwa bure , mpende mkeo, narudia kusema mpende mkeo
Nasemajee sitorudia tena!Acha kumsaliti mkeo , jiulize angekuwa anakusaliti alafu ugundue maumivu hayo hata yeye anaumia.
Rudi nyumbani ukatulie na mkeo , utabeba magonjwa bure , mpende mkeo, narudia kusema mpende mkeo
Afu wife mzuri kuliko mchepuko ila wanaume sisiHapo inaonesha una mapenzi ya dhati kabisa kwa mkeo na kiakili uko na mkeo
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wake zenu huwafichia Siri ila vile hamsikii acha igome kusimamaUlikamia mechi ama una muda hujafanya so excitement ilikua juu sana ukajikuta unaharibu.
Pole mkuu. Huyo mwanamke mtafte tena umkamue vinginevyo ataharibu jina lako kua wewe ni mchele ama rojo rojo.
Una hasira na sisi sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wake zenu huwafichia Siri ila vile hamsikii acha igome kusimama
Mkuu wewe huoni ndo umezalilika hapo where is your manhood ooh, pole najua utakosa Raha leoUna hasira na sisi sio bure
Acha uoga wewe.....Nasemajee sitorudia tena!
Samahani mkuu....Acha kumsaliti mkeo , jiulize angekuwa anakusaliti alafu ugundue maumivu hayo hata yeye anaumia.
Rudi nyumbani ukatulie na mkeo , utabeba magonjwa bure , mpende mkeo, narudia kusema mpende mkeo