Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah naogopa sana siku ya kwanza kukutana na mchepuko halafu mashine ikusaliti 😅 bora nitulie tu! Kama ndio demu wa mtaani anakutangaza kwamba amna kitu pale kidude kimelegea kama mlenda![emoji23][emoji23][emoji23]akimuona mchepuko abadili mbinu na hivi wanawake husimulia hizo story zitasambaa Sana.