Mkuu point of Collection ni kwamba hawa kuku si wa Malawi kama tunavyo aminishwa na watu walivyo zoea, Hawa kuku ni Cross breed ya AUSTRALORP kutoka Australia, hii breed ndo ikicroswa unapata hao kuku weusu, Ila si kwamba ni wa Malawi kwa sababu hata Kenya wapo but wao wanajua ni cross breed ya Australorp na wanashangaa sisi kuwaita kuku wa Malawi.
Na ukipata jogoo pure wa Autrolorp bado unaweza cross na kupata Kuku weusi wa kwako