Jogoo wakubwa wa malawi wanauzwa.

Jogoo wakubwa wa malawi wanauzwa.

Joined
Dec 8, 2012
Posts
31
Reaction score
8
Nina jogoo wakubwa wa Malawi, weusi wanauzwa.
kila mmoja ni sh. 15,000/= tu. Kwa anayehitaji tuwasiliane. Niko ILEJE, MBEYA- Tanzania.:A S 103:
 
Mkuu point of Collection ni kwamba hawa kuku si wa Malawi kama tunavyo aminishwa na watu walivyo zoea, Hawa kuku ni Cross breed ya AUSTRALORP kutoka Australia, hii breed ndo ikicroswa unapata hao kuku weusu, Ila si kwamba ni wa Malawi kwa sababu hata Kenya wapo but wao wanajua ni cross breed ya Australorp na wanashangaa sisi kuwaita kuku wa Malawi.

Na ukipata jogoo pure wa Autrolorp bado unaweza cross na kupata Kuku weusi wa kwako
 
Back
Top Bottom