Jogoo wangu amepinda

Jogoo wangu amepinda

Hilo la kufunga na POP kwa miezi sita likiwa limedinda
 
Naombeni msadaa,

Jogoo wangu anapinda kwenye shina na anakuwa kikwazo kwenye mahusiano kwani akiingia mpenzi wangu anasema anamuumiza.

Je, nifanyeje wakuu ili anyokee,kwani dada wengi ninaokutana nao wanalalamika sana, yani kichwa chake kinaelekea juu baada ya mbele.
Mwambie na yeye aawepo juu na atoke huko mbele
 
Piga puli mata tatu kwa siku litanyooka tu
 
Back
Top Bottom