Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 622
Pole sana mkuu, iachie KARMA tu sasa, inaelekea mnajuana kitambo au mnakaa kitaa wote ama ni issue kakufanyia akiwa star tayari. Ila jamaa me huwa namuona cool sana mbona.Acha tu mkuu.. Hii dunia kuna watu wanajiona wajanja sana, nidhamiria kufanya kitu kiovu kwake lakini moyo ukaniambia hapana muacheni tu.. Sitaki kufungaka zaidi kiusalama hapa JF
Simpendi mno huyu kiumbe
namjua yule demu alipiga mkuu ,pole sanaAcha tu mkuu.. Hii dunia kuna watu wanajiona wajanja sana, nidhamiria kufanya kitu kiovu kwake lakini moyo ukaniambia hapana muacheni tu.. Sitaki kufungaka zaidi kiusalama hapa JF
Simpendi mno huyu kiumbe
Wala hatukai pamoja tumejuana muda mfupi tu baada ya wiki moja alinitibua vilivyo, hana Ucool wowote ni vile tu jambo kama hulijui ni ngumu kuaamini ukiambiwa. Issue ya miaka kama 5 imepitaPole sana mkuu, iachie KARMA tu sasa, inaelekea mnajuana kitambo au mnakaa kitaa wote ama ni issue kakufanyia akiwa star tayari. Ila jamaa me huwa namuona cool sana mbona.
Joh makini alikunaniiii..???? tuambizane mapema tujueWala hatukai pamoja tumejuana muda mfupi tu baada ya wiki moja alinitibua vilivyo, hana Ucool wowote ni vile tu jambo kama hulijui ni ngumu kuaamini ukiambiwa. Issue ya miaka kama 5 imepita
Yaani mtu akimsifia au kuzungumzia habari zake huyo jamaa nachukia mno.. Mungu anajua zaidi aisee
super star asiye na skendo.
Mfatilie kwa makini usilolijua ni kama usiku wa kiza.super star asiye na skendo.
Huwa namkubali Joh makini sana ingawa Arusha wengi hawamkubali kwa sababu ya swaga zake
Tunachimbua makaburi. Ndiyo tangu kipindi hicho hajaonekanaga tena yule dada mwenye kutoboa mipuaDu jf kiboko haya ndio nayasikia leo
hahaa alafu naskia ana demTunachimbua makaburi. Ndiyo tangu kipindi hicho hajaonekanaga tena yule dada mwenye kutoboa mipua
Ni lotus ndio kazaa naeYule Lotus au kabla ya Lotus
Lotus kazaa na lord eyesNi lotus ndio kazaa nae
Mapenzi kweli noma, naona kabisa kila dalili yule dada ndo alimpenda Lord ha ha, alikoma na mgumu akaamua kumtunukuLotus kazaa na lord eyes