Joh Makini brother umeshinda wewe, nimenyoosha mikono

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
204
Reaction score
210
Kwa muda mrefu nimekua nikijitahidi kukukwepa kujifanya sikusikii as if mziki wako sio mzuri lakini kwenye vikona nikisikia nabana kusikiliza kidogo then najipa moyo kwamba huu nao mbaya.

Yaani kama ule wa Hussein Machozi UTAIPENDA mshikaji kazuga lakini akiwa mwenyewe anasikiliza hahahah Da noma sana na kwenye utaipenda ile featuring ndipo nilipoanza kukuelewa but still nikawa mbishi kwamba bado unaotea.

Ukanitolea XO nikaipotezea, sijakaa vizuri ukaja na NUSUNUSU, nayo nikaipoteza ukaja na DONT BOTHER nikatega sikio kiaina bado nikakaza moyo ukanimaliza na NJE YA BOX sasa na hii ya COMBO aiiiiiiii brother nimenyoosha mikono we ni shida Hongera sana uko vizuri aiseee we ni shiiida

 
Acha kelele weka huo wimbo hapa sio insta
 
Joh ni hatari nilianza kumuelewa kitambo mstari unaonikosha kwake ni "Inahitajika machale na umakini usilale ili wale wasikuvishe ujinga wakutawale..huu mstari unanifanya niishi kimagutu simuamin mtu yeyote hata kidogo asije nijaza ujinga bure nikaharibikiwa.
 
othiambo inaonesha una feel sana hip hop,maana nilishaona una quote zaidi ya mara moja mistari ya hip hop
 

achana na life style yake mkuu we penda kazi maisha binafsi hamna mkamilifu
 
Huyu mchizi tokea alipotoa hao, namkubaligi mwanzo mwisho.
 
me cjaona uzuri wa wimbo toka majuzi nimejaribu kuusikiliza mara kwa mara ila sijaupenda labda yule chindimna angerap km anavyofanyaga may be ingeleta ladha
 
hivi joh anaimba hip hop?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…