Joh Makini brother umeshinda wewe, nimenyoosha mikono

Joh Makini brother umeshinda wewe, nimenyoosha mikono

Joh ni hatari nilianza kumuelewa kitambo mstari unaonikosha kwake ni "Inahitajika machale na umakini usilale ili wale wasikuvishe ujinga wakutawale..huu mstari unanifanya niishi kimagutu simuamin mtu yeyote hata kidogo asije nijaza ujinga bure nikaharibikiwa.
Niamini Mimi
 
Huu mwamba wa kaskazini nilikua nauelewa kipindi hicho cha chochote popote ......
 
Hii ngoma ipo kawaida hajaufikia ule wimbo wake wa don bother,lakini bado mapema kuihukumu.
 
Hili funzo kwa marapa, sio kila siku kurap huku umekaza sura inabidi wabadilike, we mtizame Casper nyovest ana nyimbo yake verse mbili zote kaimba kawashirikisha mahotela queen nyimbo inaitwa Malone ni bonge la ngoma. Kubadilika kidogo sio dhambi hata hao akina schoolboy q (studio), j Cole (apparently) wameimba. Joh yupo vizuri sana.
 
Mi naona ni mzuri sana mashairi lakini beat yake ndio kidogo sijaielewa. Kweli amejaribu kuiweka kiafrika, lakini there is a lot going on on the beat, kiasi inakua kama kelele.pia video haipo poa saaana
 
Hili funzo kwa marapa, sio kila siku kurap huku umekaza sura inabidi wabadilike, we mtizame Casper nyovest ana nyimbo yake verse mbili zote kaimba kawashirikisha mahotela queen nyimbo inaitwa Malone ni bonge la ngoma. Kubadilika kidogo sio dhambi hata hao akina schoolboy q (studio), j Cole (apparently) wameimba. Joh yupo vizuri sana.
Ugumu umemmaliza 20 %, Fid Q nae amepotea, limebaki jina!
 
Huyu chindimna kidogo amefanana Shaunie Nelson

upload_2016-7-16_12-56-57.jpeg
 
Life style yake binafsi behind the scenes sifuri kabisa. Hip Hop ni muziki wa kiharakati you must live it. Kwa kiasi fulani ni kama reggae.

I saw him last year na kampani yake sehemu for two days, inabidi abadilike otherwise muziki wake ni conscious
...yani umemuona Joh kwa SIKU 2 umehitimisha lifestyle yake SIFURI!
..kazi unayo hater!
 
Life style yake binafsi behind the scenes sifuri kabisa. Hip Hop ni muziki wa kiharakati you must live it. Kwa kiasi fulani ni kama reggae.

I saw him last year na kampani yake sehemu for two days, inabidi abadilike otherwise muziki wake ni conscious
Unataka awe akina nanii daily kwy media?? Huyu hustler wa ukweli wa kimya kimya hana mambo ya kijinga!masidis in the house.
 
kwa muda mrefu nimekua nikijitahidi kukukwepa kujifanya sikusikii as if mziki wako sio mzuri lakini kwenye vikona nikisikia nabana kusikiliza kidogo then najipa moyo kwamba huu nao mbaya yaani kama ule wa Huseini machozi UTAIPENDA mshikaji kazuga lakini akiwa mwenyewe anasikiliza hahahah Da noma sana na kwenye utaipenda ile ftering ndipo nilipoanza kukuelewa but still nikawa mbishi kwamba bado unaotea ukanitolea XO nikaipotezea, sijakaa vizuri ukaja na NUSUNUSU, nayo nikaipoteza ukaja na DONT BOTHER nikatega sikio kiaina bado nikakaza moyo ukanimaliza na NJE YA BOX sasa na hii ya COMBO aiiiiiiii brother nimenyoosha mikono we ni shida Hongera sana uko vizuri aiseee we ni shiiida

huyu chidinma mzuri ningekua joh ningesema kuwe na more kissing scenes kwenye hii video
 
nilimuona Joh 2007 tanga enzi zile ametoa ngoma ile 'wameinama' amebadilika kimziki kidogo ila bado yupo ok na ana trend kwenye mainsteem
 
Back
Top Bottom