Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Niamini MimiJoh ni hatari nilianza kumuelewa kitambo mstari unaonikosha kwake ni "Inahitajika machale na umakini usilale ili wale wasikuvishe ujinga wakutawale..huu mstari unanifanya niishi kimagutu simuamin mtu yeyote hata kidogo asije nijaza ujinga bure nikaharibikiwa.