Joh Makini- Hao

Joh Makini- Hao

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
1733073686229.jpg

JOE MAKINI - HAO.

A city
Your now lucking with the best.
Joe makini
Aaah..

Yeah.

Aaah..

Verse..1.

Hawa ongopi hata kusema hukumu imekaribia/ na waimbaji wa dini na hata wao pia/ wanatuzwa na wanao tengeza bia/ wanachanganywa na wanao fagilia/ maovu na starehe za kupita hii Dunia/eeh wa Ukimwi wanakufa masikini / wakiondoka Viongozi ni shindikizo la Damu/ tunadai haki zetu wanasema utofu wa nidhamu/ Naam!!.. hili Game Mr Ebbo toka Tanga anaingiza sokoni/ na wengine wapo town wana bugi tu Ramani/ hawapendi ili kuruza tatizo uli zuza kuona muziki wa joe makini unawanyima usingizi/ masaka wa hapa mjini/ sikia ubunifu ulininyonya hautoshi kuni Dhoofisha / nawakirisha bado joe narusha/ still nawa tahabisha masaka wanaobisha/ wameshindwa kuzuia / wamechoka wanapisha ..

Wameinama hao ..!! Wameinuka hao...!!
Wanaona haya....!! Yote wametaka wao..!!

Level mi ninazopita zinachoresha Muziki wao / wakati ndio umefika joe kuipora chart yao/ tayari mikononi ninao wapenzi wao/ tayari mikononi ninao wateja wao/ ni kama kero street wanauliza Album / ludi wambie wasichoke itakuwa pam pam/ nick wambie wasichoke itakuwa pam pam/ machungu yanachoma na yale matamu tamu yap.

Chorus..

Wameinama ..!! Wameinuka ..!!
Wana ona haya..!! Yote wemetaka wao..!!

Mwanzoni watu walipenda story zao /
Tatizo wamechoshwa na Uzee wa style zao/ × 3

Ni joe makini toka A town city/
Mpaka New York city /
Na wabaso City/

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
 
Back
Top Bottom