boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Kumbe beat ndo shida kwako? Ikiona wengi wamedis......jiongeze mjomba huna hoja hapo Fanya mengine mziki we ishia kuskiliza sio Ku comment!!Nyie mnasikiliza mashairi sikilizeni biti hizo ni sawa
BIG PUSSYBonge la nyau ndio nini??
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mimi Huu wimbo naupenda kwa Sababu ya Chidinma.
Huyu Dada yuko poa sana.
Ile hela ya watu mlio kulaa mmesha enda kufanya kazi? Maana na nyie team mwafulani captain wenu kwa kula hela za watu hajamboHivi watu mueleweshwe mara ngapi kuwa beat sio mali ya msanii bali producer?
Povu kibao hujui hata unachokiongelea...eti Joh Makini kacopy sijui kasample beat la bonge la nyau.
Umefeli kwa kiwango cha 0%.
Endelea na kibarua chako cha kutuletea habari za Diamond humu,mengine huyawezi.