Joh Makini Hii Perfect Kombo Vipi?

Joh Makini Hii Perfect Kombo Vipi?

In short ile sio HipHop ni Kiduku pure.
 
Melody ya Joh na Bonge la paka zinafanana verse ya kwanza.
 
Hivi watu mueleweshwe mara ngapi kuwa beat sio mali ya msanii bali producer?
Povu kibao hujui hata unachokiongelea...eti Joh Makini kacopy sijui kasample beat la bonge la nyau.
Umefeli kwa kiwango cha 0%.
Endelea na kibarua chako cha kutuletea habari za Diamond humu,mengine huyawezi.
 
Ile hela ya watu mlio kulaa mmesha enda kufanya kazi? Maana na nyie team mwafulani captain wenu kwa kula hela za watu hajambo
 
Kwa mtazamo wangu midundo ya huo wimbo wa Perfect Combo mimi naifananisha sana na ile iliyo katika wimbo wa Wasiwasi wa Mapenzi wa Stara Thomas. Nadhani wengi waliowahi kuusikia huo wimbo wa Wasiwasi wa Mapenzi uliotoka nadhani 2006 kama siyo 2007 basi watakubaliano na mtazamo wangu.N.B: Sina tatizo la mwanamuziki kukopi kwa mwenzie kwa sababu ni jambo la kawaidi kwa karne nyingi.
 
Back
Top Bottom