Joh Makini Hii Perfect Kombo Vipi?

What do want then?
 
" Wadau sikilizeni Vice Vesa ya Joh makini na Perfect Kombo ya Joh Makini utakuja kuniambiaaa kuwa Ni kweli amecopy ila hajapaste ameedit"
"kasoro zenye kasoro" binamu
 
Muziki ni elimu kama elimu nyingine,ukikosa elimu kichwani utakuwa mpumbavu tu.Kuna kusikiliza na kuutambua muziki,sasa mtoa mada amesikiliza tu huu wimbo bila kuutambua.Yaani dunia nzima kuna wanamuziki na wanatumia beats kutengeneza nyimbo zao.Unataka kusema hizo nyimbo mamilioni kwa milioni dunia nzima hakuna hata nyimbo mbili tu zitashabihiana kwa beat japo kwa 1% moja tu?

Tunapo-judge muziki kama umekuwa-copied na mtu,huwa tunaangalia vitu vingi sana.Kuna msanii mmoja wa bongo fleva anaitwa Timbulo,yeye aliimba wimbo unaitwa "Wa leo wa kesho".Ukisema yule amekopi na kupest kutoka kwa msanii(sikumbuki jina lake),lakini nadhani ni wa Afrika Magharibi au kati.Timbulo ameiga kila kitu kasoro lugha tu.

So tuwe wakosoaji wazuri,tuweke 'unaa'pembeni!
 
Sijaona kosa la Joh Makini labda ungesema producer aliyetengeneza hiyo ngoma.
 
Kwenye video jamaa yupo kwenye sofa anabonyeza pad kama anacheza game wakati screen ipi off
 
Hakuna ubishi hapa
nakukumbuka-diamond vs
yamoto band-nitajuta au jina jingne nimesahau saiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…