appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
Kuna msanii mmoja anaitwa Bonge la Nyau ameimba wimbo unaitwa vice versa:
nyau mwenyewe yupo wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna msanii mmoja anaitwa Bonge la Nyau ameimba wimbo unaitwa vice versa:
Wadau watatujulisha huyu Bonge la Nyau alipo!nyau mwenyewe yupo wap
What do want then?Kwa mtazamo wangu midundo ya huo wimbo wa Perfect Combo mimi naifananisha sana na ile iliyo katika wimbo wa Wasiwasi wa Mapenzi wa Stara Thomas. Nadhani wengi waliowahi kuusikia huo wimbo wa Wasiwasi wa Mapenzi uliotoka nadhani 2006 kama siyo 2007 basi watakubaliano na mtazamo wangu.N.B: Sina tatizo la mwanamuziki kukopi kwa mwenzie kwa sababu ni jambo la kawaidi kwa karne nyingi.
What else do you expect to hear from me? Fuss? No.What do want then?
Hilo jina ukilitafsiri in english linaleta maana mbaya san,[emoji53] BIG PUSSYBonge la nyau ndio nini??
" Wadau sikilizeni Vice Vesa ya Joh makini na Perfect Kombo ya Joh Makini utakuja kuniambiaaa kuwa Ni kweli amecopy ila hajapaste ameedit"Habariniiii.....Siku za hivi karibuni msanii wa Hip hop laini toka kwa Weusi alitoa wimbo unaitwa Perfect Kombo alio mshirikisha Chidima wa Nigeria ni wimbo mzuriiiii sawa lakini vipiiii mbona kama umecopy kwa Vice Vesa Ya Bonge la nyau
Najua mashairi ni kweli hayapo sawa lakini hizi beat na miondoko na kila kila kitu mbona kama ni Sawa na Vice Vesa???? Hapo imekaajeeee naona Bro Joh makini Umeamua Kucopy sawa buanaaa!!!
Ulivyoambiwa unaandikiwa na Nikki ulikataa ukatoa na wimbo kabisa wa Do'nt bother sasa hii Vice Vesa ya Bonge la Nyau imetoka mwaka Jana wewe perfect Kombo umeitoa juzi juzi tuuu hapaaa so umecopy hahahahahaha Joh makini weeeeeee mbayaaaaa
Najua unaweza kuwa na mashairiiiii kibaoooo lakini linapokujaaa sualaaaa La bitiiii huwa ni shidaaaa ni kweliii Joh makini umecopy!!Hahahahahaha kama nakuona vile Joh makini,sio kitu cha ajabu kucopy biti lakini ni vizuriii ukakubariiiii
Idea haziwezi kugonganaaa zikatoa biti lile lileee hapanaaaaa.....Diamond alisema ukweli mimi A.Y ndo kanikutanisha na Davido bila yeye nisingekuwa kama sasa So na wewe Joh makini ni mda wa kukubariiiii kuwa Umecopy umecopy umecopy
Wadau sikilizeni Vice Vesa ya Joh makini na Perfect Kombo ya Joh Makini utakuja kuniambiaaa kuwa Ni kweli amecopy ila hajapaste ameedit
Ila Joh Makini Sio mara yako ya kwanza kucopy biti tushaona umechukua biti za Jay Z ,umechukua Biti ya Blue Pesa na zingine nyingi so hizi kashfaa umeshazizoeaaa ila Badirikaaaaa acha kucopy au ukicopy Kubariiiii na utoe credit
Huyu Jamaa ana arosto ya Unga. Yaani hizi nyimbo hazifanani kabisa kabisa.Utakua ulisikiliza vibaya...hizo ngoma mbili hazifanani hata kidogo
Atii???[emoji15]BIG PUSSY
Nzuri kwa kweli na ndio kwanza naisikia leoIla haka ka nyimbo in katamu
Pussy,cat au meow??Hilo jina ukilitafsiri in english linaleta maana mbaya san,[emoji53] BIG PUSSY