Joh Makini Hii Perfect Kombo Vipi?

Joh Makini Hii Perfect Kombo Vipi?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Habariniiii.....Siku za hivi karibuni msanii wa Hip hop laini toka kwa Weusi alitoa wimbo unaitwa Perfect Kombo alio mshirikisha Chidima wa Nigeria ni wimbo mzuriiiii sawa lakini vipiiii mbona kama umecopy kwa Vice Vesa Ya Bonge la nyau

Najua mashairi ni kweli hayapo sawa lakini hizi beat na miondoko na kila kila kitu mbona kama ni Sawa na Vice Vesa???? Hapo imekaajeeee naona Bro Joh makini Umeamua Kucopy sawa buanaaa!!!

Ulivyoambiwa unaandikiwa na Nikki ulikataa ukatoa na wimbo kabisa wa Do'nt bother sasa hii Vice Vesa ya Bonge la Nyau imetoka mwaka Jana wewe perfect Kombo umeitoa juzi juzi tuuu hapaaa so umecopy hahahahahaha Joh makini weeeeeee mbayaaaaa

Najua unaweza kuwa na mashairiiiii kibaoooo lakini linapokujaaa sualaaaa La bitiiii huwa ni shidaaaa ni kweliii Joh makini umecopy!!Hahahahahaha kama nakuona vile Joh makini,sio kitu cha ajabu kucopy biti lakini ni vizuriii ukakubariiiii

Idea haziwezi kugonganaaa zikatoa biti lile lileee hapanaaaaa.....Diamond alisema ukweli mimi A.Y ndo kanikutanisha na Davido bila yeye nisingekuwa kama sasa So na wewe Joh makini ni mda wa kukubariiiii kuwa Umecopy umecopy umecopy

Wadau sikilizeni Vice Vesa ya Joh makini na Perfect Kombo ya Joh Makini utakuja kuniambiaaa kuwa Ni kweli amecopy ila hajapaste ameedit

Ila Joh Makini Sio mara yako ya kwanza kucopy biti tushaona umechukua biti za Jay Z ,umechukua Biti ya Blue Pesa na zingine nyingi so hizi kashfaa umeshazizoeaaa ila Badirikaaaaa acha kucopy au ukicopy Kubariiiii na utoe credit
 
cutting crew mwaka 1986 walitoa nyimbo i just died in your arms

jay z akairudia

bon jovi walitoa Forever

jay z akakopi

nas na i can wameicopy kutoka kwa beethoven fur elise kama sikosei

haya mambo ni ya kawaida sana katika music industry dogo ndio maana halafu kuna kitu kingine unatakiwa ukijue katika productions za music kila producer ana touch zake

mie nikiisikiliza beat najua hii kaitengeneza will i made it, au jahil beat, au boi 1da, au t-minus,

hawa digi phonics kina soundwave beat zao zinafanana ndio maana nyimbo za kina black hippy kwa maana kendrick, schoolboy q na akina ab soul ni tofauti na nyimbo za kina drake

ila kendrick hujiulizi kwanini beat zake zinafanana na za jay rock
 
Kama amekopy wew inakuhusu nin??? Kasikilize hzo nymbo vzr acha kukurupuka
 
Back
Top Bottom