Joh Makini ndiyo Msanii/Celebrity Bora wa HipHop na Bongo Flavour kutokea Tanzania

Nadhani kwa kuzingatia ukuaji wa Hip Hop na kuchangia kuifanya iwe rafiki wasikizaji wote hasa kwa TZ...

Ubora wa muda wote mpe pro jay!

Kwani kasaidia kufanya jamii kuiona Hip Hop sio muziki wa kihuni na unaweza kusikilizwa na rika lolote..!
Hapo ambacho hujaelewa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…