Mo shyner
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 464
- 1,114
Sijaelewa kipi kimekufanya usinielewe..!Hapo ambacho hujaelewa ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa kipi kimekufanya usinielewe..!Hapo ambacho hujaelewa ni nini?
Bakuli hili lenye maumaku na steve b ???Aliyekuita hapa ni nani? Funga bakuli lako
Wewe utakua unapakuliwa, sio bure. Mbona una shobo hivi?Bakuli hili lenye maumaku na steve b ???
Nimewaita wanaume tu, nyie tranny sijawaita.Wengine umewaita????
Wewe zako zakipinzani zinasemaje mkuuHizi akili ni za ki ccm aisee
Wapi nimesema mimi ni mpinzani? Au kuwa na akili za ki ccm ni kashfa?Wewe zako zakipinzani zinasemaje mkuu
Hivi Jo makini siku hizi kaacha unga?Kuna kipindi alidataga kwa unga na alietaka kumuharibu ni Lord eyes .Jo ana kipaji kikubwa Sana sikatai lakini Sugu kamfunika kwa Kila kitu kuanzia kwenye mziki na kiuchumi hata na wewe Niki wa pili inabidi umpe sifa Mr llJoh Makini ndio msanii bora kuwahi kutokea, kuna sababu nyingi ambazo wengine wemeshindwa kuzifikia. Hii ni kutokana na umahiri wa huyu Mtu John Simon Mseke.
Ofcourse kuna wengine wakongwe wangeweza kuchukua hiyo nafasi Ila wana makando kando mengi sana. Nitachambua
1) Yule mkongwe wa miaka ilee ya 90
Huyu ukweli ni kuwa ndio alisaidia kuimba mziki huu kwa kiswahili na kueleweka na kuanzwa kuchezwa redioni na ana albamu nyingi tu.
Ila tatizo lake kubwa ni mdhulumaji sana na ameumiza wasanii wenzake wengi sana. Mfano alianzishaga ile movement, baadae akaitwa pembeni akapewa pesa akasaliti wenzakena movement ikafia hapo. Kuthibitisha hili nenda pale Mwenge waulize mapacha.
Lingine ni mvutaji mkubwa sana wa bangi, inawezekana kweli labda bangi sio mbaya Ila huyu akivuta hakuna kitu mtaelewana tena na anakosa kabisa discpline.
Alivyoingia kwenye siasa ndio alijimaliza kabisa kimuziki na akawa hana jipya tena zaidi ya kugombana na serikali
2) Huyu Bro aliyevuma sana mwanzoni mwa 2000, huyu wa Kimara
Huyu naye alifanya makubwa ikiwa kuamsha watu wengi sana kuwa muziki sio uhuni na alikubarika na rika zote. Tatizo lake kubwa hana discpline ya kazi hasa baada ya kunywa mavitu yake yale magumu(bapa).
Huyu kabla ya kupanda jukwaani lazima apige bapa za kutosha na akishuka akishalipwa basi atakesha na mabapa hadi anazima.
Angeweza kuwa GOAT, lakini suala hili lilikua likimuondolea kabisa discpline ya kazi na kuishia kudharaulika.
3) Yule wa Morogoro
Wapo wataosema basi yule wa Morogoro, huyu ni mtu mmoja mkali sana kuwahi kutokea ila shida yake ni muda wowote kichwa kikipata Moto tu basi anamwaga radhi.
Sio mtu wa kumdhamini hata kidogo, hanaga break.
4) Yule wa Mwanza
Huyu ni mmoja wa watu ninaowakubaali sana, lakini ana makando mengi sana. Na shida kubwa ni mtu wa maneno na ulalamishi sana.
Pia ameshindwa kabisa kumaintain game, ndio maana unaona anakaa hata miaka mitano hana jipya.
Hao ndio watu pekee wangeweza kuchukua nafasi ya Joh Makini lakini kutokana na tabia zao wameangukia pua. Joh Makini kinachombeba ni uwezo Wana na discpline ya Hali ya juu sana kuliko msanii yoyote hapa bongo.
Joh Makini ni mtu ambae unaweza kumtukana unavyotaka na asikujibu chochote yeye huwa busy na muziki wake na maisha yake
Umesema kwa hisia huwezi sema tu kitu pasipo kitu wewe acha kuzunguka na akili zako zakipinzani hufikia mahali nakuhakikishia hiloWapi nimesema mimi ni mpinzani? Au kuwa na akili za ki ccm ni kashfa?
Huyu Niki wa pili atulie awatumikie wana Kisarawe.Unahangaikaga wewe
Ebu kaa utulie huku kisarawe kula hivo viposho vya ukuu wa wilaya.
Kakako ni msanii wa kawaida tu kama ulivokuwaga wewe.
Ingekuwa hoja hi sidhani hata hii Heshima anayopewa Bob Marley angeipata.Kwa kuvuta msuba?