Joh Makini ndiyo Msanii/Celebrity Bora wa HipHop na Bongo Flavour kutokea Tanzania

Hivi Jo makini siku hizi kaacha unga?Kuna kipindi alidataga kwa unga na alietaka kumuharibu ni Lord eyes .Jo ana kipaji kikubwa Sana sikatai lakini Sugu kamfunika kwa Kila kitu kuanzia kwenye mziki na kiuchumi hata na wewe Niki wa pili inabidi umpe sifa Mr ll
 
Wapi nimesema mimi ni mpinzani? Au kuwa na akili za ki ccm ni kashfa?
Umesema kwa hisia huwezi sema tu kitu pasipo kitu wewe acha kuzunguka na akili zako zakipinzani hufikia mahali nakuhakikishia hilo
NIMEMALIZA
 
Unahangaikaga wewe
Ebu kaa utulie huku kisarawe kula hivo viposho vya ukuu wa wilaya.
Kakako ni msanii wa kawaida tu kama ulivokuwaga wewe.
Huyu Niki wa pili atulie awatumikie wana Kisarawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…