Wewe ndio unaongoza jukwaa hili kwa kuleta habari za udaku za mastaa wenu mavi , halafu leo humjui Super Star wako wala Redio ya Wafu!?Ndio nani huyo?
Fiesta ndio nini?
Wewe ndio unaongoza jukwaa hili kwa kuleta habari za udaku za mastaa wenu mavi , halafu leo humjui Super Star wako wala Redio ya Wafu!?
kwakuwa leo ni jumapili naomba nikujibu kama yesu wewe wasemaWewe ndio unaongoza jukwaa hili kwa kuleta habari za udaku za mastaa wenu mavi , halafu leo humjui Super Star wako wala Redio ya Wafu!?
Upe Upe Upe,Nawakilisha Arusha kama christopher wallace B.R.O.O.K.L.N I'm goin In!!!
The finest of A-twn ukuwepo?
Kamfunika hadi RICK ROSS? Duhh!
Wewe ndio unaongoza jukwaa hili kwa kuleta habari za udaku za mastaa wenu mavi , halafu leo humjui Super Star wako wala Redio ya Wafu!?
ROzaY that mY nIcK nAmE.
True dat.
Unafiki tu huo.
Je kuna thread yeyote niliyoianzisha kuhusu joh makini?
Yani jamaa alikuwa stage warmer/opening act wa ROZAY. Kaamsha shangwe za kutosha sana, kila ngoma anaimba na crowd.
Namkubali sana aisee.
kwani umeshamjua?