Joh Makini, The Tanzania hip hop giant anayepita njia inayomfanya aonekane wa kawaida sana

Joh Makini, The Tanzania hip hop giant anayepita njia inayomfanya aonekane wa kawaida sana

kanali mstaafu UMEONGEA POINT SANA, JOH ANAMEZWA NA WEUSI, ALIPOKUWA RCS (RIVER CAMP SOLDIERS) ALIKUWA ANAJIELEWA, ANAPIGA ZA KUNDI THEN ANAJITOA KIAINA, LAKINI LEO HII AKILI KUBWA NIKKI WA PILI KAMKAMATA, UKIONA NIKKI KAMA HAJABASE SANA KWA MZIKI ILA YUPO KIFURSA ZAID, AMBAPO ANAPATA ZAIDI YA WENZAKE.

HIVYO, JOH ANATAKIWA KUBADILIKA ASIMAME KAMA YEYE, KWANGU MM, NOW SIAMINI KATIKA MAKUNDI, MENGI YAO YAMEVUNJIKA PASIPO MASLAHI, JOH ANAWEZA KUSIMAMA YEYE KAMA YEYE NA AKATOKA ZAIDI YA ALIVYOMEZWA SASA. UKISIKILIZA NYIMBO ANAZOIMBA WAKIWA KAMA CREW NI HEWA YAANI HAMNA KITU.

LAKINI JOH, AKISIMAMA MWENYEW ANATISHA SANA, NGOMA ALIZOSIMAMA MWENYEWE ZA SASA NI XO, DON'T BOTHER,NUSU SAA, SIMWACHII N.K UKICHEKI ZA. ZAMANI KAMA MFALME,HAO,MUDA, DK 90 N.K NI NOMA LKN ZA CREW HAKUNA KITU.

NATAMANI HUU UJUMBE UMFIKIE POPOTE ALIPO
 
Miaka ya 2008 mpaka 2012 ukisikia jina JOH MAKINI unapata picha ya nguli wa Hip hop ambaye alipendwa na wagumu pamoja na mademu at the same time. Joh makini ni msanii wa hip hop ambaye ana vitu vifuatavyo;
Flow za aina nyingi halafu zinabamba
Ana sauti nzuri
Anaweza kurap ktk mdundo wowote
Ni mwandishi mzuri
Ana fanbase kubwa
Ana muonekano wa kisanii

Kila nikisikiliza Stimu zimelipiwa, Hao, Muda, Mfalme, kilimanjaro, brand(blue magic), popote, simwachii Mungu na nyingine kadhaa wa kadhaa naona huyu jamaa anajua sana na ana vitu vingi sana ila anafanya kosa moja

KOSA
Joh makini unapokaa kwenye kundi la weusi unamezwa. Anayenufaika na kundi la weusi ni Nikki wa pili ambaye hana mashabiki wake hvyo kundi linambeba na anatumia fursa vilivyo. Pia Gnako ananufaika na kundi kwa sababu huyu jamaa yeye aliumbwa na Mungu kwa ajili ya kolabo tu na akiimba mwenyewe ngoma zinabuma.

USHAURI
1.Baki katika kundi la weusi ila jikite kutoa ngoma zako mwenyewe na hizo za colabo ziwe chache sana.
2. Piga kotekote kama Fid Q anavyofanya siku hizi, yaani mashabiki zako wa zamani wape ngoma kama Stimu zimelipiwa na wa siku hizi wape nyimbo kama ‘mipaka’
3. Acha kujitenga sana na wasanii ambao sio weusi. Piga kolabo na akina kala jeremiah, mwana FA, Ali kiba, Jay moe, Lady Jay dee, n.k
4. Una package kama ya JAY Z ila ukimdate vanessa au mkatengeneza project na Vanessa mkawa kama mpo wote, mnatoa ngoma, shows na vitu vingine mtakuwa THE CATERS wa bongo.

Ni hayo tu MWAMBA WA KASKAZINI
Kiongozi naona kama umeniwahi kuandika juu ya Joh.huyu jamaa ni msanii wa hip hop mkali sana tena sana..namjua toka akijiita rapture man..mpaka Joh..sikiliza mistari yake..namna anvyoandika verse zenye content kali sana..Sina haja ya kurudia ngoma ushazitaja hapo juu..tatizo linaanzia wapi
TATIZO/MATATIZO/VIKWAZO VYA JOH
NIKKI II
Huyu jamaa ni wa kulaumu ka mswitch joh kutoka kwenye uhalisia wake mpaka huko anakopaona ndo kuna faida(pesa) kwa kigezo cha mziki wa biashara.ameweza hilo sababu ya elimu aliyonayo na nafasi kubwa ya ushawishi ndani ya crew ya weusi.akitambuliwa kama mtu mwenye upeo mkubwa ndani ya kundi(kwa kigezo cha masters)
Ila amini huyu jamaa badala ya kumkuza joh kamfanya kawa kama akina kala wa sasa yaani uhandishi wake hauumizi kichwa..utafikiri mashairi ya nyimbo za kwaya..kasikilize samaki wabichi..then sikiliza wapoloo..huwezi tamani mziki wake tena joh.
Upande wa sound nako kabadilika sana ili aendene na mchiriku huu ambao ameubuni nikki akiuita mziki ama hip hop ya biashara
Upande wa beats huko ndo usiseme yaani nikki kawapoteza kabisa..midundo aliyokuwa amezowea kunata nayo joh..leo hii mpaka huruma..yote ni nikki na ujuaji wake..
NYONGEZA
Joh anatakiwa ajue nikki ii sio msanii wa muziki na wala hana kipaji cha mziki kama yeye...nikki ni mwimbaji aliyebebwa na jina la joh makini kama mwamba...na hata upepo wa kipindi kile..lakini zaidi bifu la nikki wa pili na nikki mbishi..likaaminisha watu wajue nikki ii ni msanii mwenye uwezo kumbe sio kweli..joh akiyajua hayo aache kumpa ama ampunguzie madaraka ya ushauri mandazi kwenye kazi yake ..vinginevyo anakoelekea atakuja kuitwa mkongwe(kwa muktadha wa kibongo mkongwe umekata ringi).
 
Kwakuongezea mkuu, waache kufanya kazi kishkaji maana niliwahi kusikia walikimbia kwa Nahreel baada ya jamaa kudemand mpunga kwny midundo yake, naamin wangeweza kukaa poa na jamaa wakabargain fresh. Jamaa(Nahreel) ana beat kali na Joh aliweza kutembea nazo.
 
Na kuhusu Nahreel..na joh hawa watu wamefanya makubwa sana.joh hasingetoka kwa nahreel kizembe kama alivyofanya
 
Dah mwamba nimesikiliza nyimbo flan inayodaiwa Ni diss kwa wanaomdiss
Dah jamaa kaua vibaya, mzigo mkali saana mistar mikali hatukan mtu humo ndan Ila anawapa vina heavy balaa!!

#Hip Hop siyo mistar miwil mitatu snitch,
Vita vya kweli Ni dhidi ya ujinga na umaskini
#siyo vita na joh makin mwanao atarith nin!

Hii nyimbo aliitoa lini kwa anaefahamu wadau??
 
Spendi tuishie uadui kama Nesta na Tosh...!

Nafkiri 14-15.
 
Nikiwa kama moja wa shabiki wa Joh, sikumuelewa sana anavyobadilika kwenye game ila mwisho wa siki nikajisemea kuwa yeye ndio anajua wapi kunampa pesa. Tusiangalie ushabiki tu ili kujiridhisha. Yeye naye anaangalia wapi patamlipa. Anaangalia nini kinampa faida.

Ila yote kwa yote, shukrani ziwafikie weusi kwa kumuinua tena Lord Eyes maana saizi kila ngoma yao mimi huwa nataka kumsikiliza Eyes tu kabla ya wengine.
 
unatia aibu hapa umeropoka...joh ana mtoto anaitwa king kuhusu mke sidhani ila anae.....uwe unafuatilia kabla hujaropoka
Hana mke
Hana mtoto
Rapa inatakiwa ujishughulishe uache alama kama sio muziki basi familia..

John ni msanii mzuri sana alipotezwa kwenye game baada ya skendo ya ushoga
 
unatia aibu hapa umeropoka...joh ana mtoto anaitwa king kuhusu mke sidhani ila anae.....uwe unafuatilia kabla hujaropoka

Utaacha lini kutumia ID za kiume wakati wewe ni mwanamke..
Anavyokutia huwa unamuita joh joh joh joh maana ulivyoitaja haina shaka kabisa na jinsia yako!!?

Huyo mtoto alikuzalisha wewe?
Leta picha yake
 
Back
Top Bottom