Usiku naisikiliza Kiberiti ya Fid Q naona kama kapwaya kimtindo hasa kumshirikisha Saida Kalori inawezekana ni vile nilikua na expectation kubwa sana kwa ujio wake mpya,sijaelewa kwa nini aliamua kuongea pale mwishoni inaweza kua ni idea poa ila kwangu haijakaa vizuri sana natamani angenyonga verse ya 3.
Ukisikiliza verse zake mbili utagundua Fid Q ana vitu vingi sana kichwani bila kujali anavitoa wapi ila anafikirisha sana kama utamsikiliza kwa makini,Ni heri nimsikilize Fid Q alie-flop kuliko uyo Joh Makini akiwa kwenye ubora wake jamaa sijawahi hata kumuelewa hua anataka kufanya nini.