Joh makini unamtafuta nini FID Q??

Joh makini unamtafuta nini FID Q??

Ngoma za joh ni nondo kutoka kichwani sio za kucopy na kupest kwenye vitabu kama fid q.

Mziki anaofanya joh tofauti kabisa na fid.. Joh anaweza akafanya mziki wa fid ila mziki wa joh fid miaka yote atasubiri

Pia sio sahihi kuwafananisha hawa watu wawili wako tofauti kwenye flow... Ni mtazamo tu msijenge chuki
Mkuu, si kwa ubaya ila kama ikikupendeza ningependa kujua elimu yako. Hata hao waandishi wa vitabu huwa hawaandiki tu kutoka hewani, huwa wanasoma machapisho ya wengine, wanafanya research kuhusu mambo kadha wa kadha kuhusu wanachotaka kuandika ndipo wanaketi chini na kuanza kuandika. Kama Fareed anaandika kutoka vitabu basi inabidi tumuweke katika kundi la peke yake maana anakuwa amewazidi kwa mengi wasanii wenzake. Mkuu maarifa makubwa hupatikana kwenye vitabu. Kama ni kweli Fareed anasoma vitabu basi inabidi tumuheshimu sana.
 
Chochote popote kwa upande wangu mimi ndiyo ngoma kali ya muda wote kutoka kwa Joh Makini. Ule ni msosi uliopikwa kwa ustadi wa hali ya juu huku ukikolezwa viungo kadha wa kadha na kuufanya uwe na ladha adhimu isiyochosha kinywani. Joh wa nataka kucum, sio Joh yule
Mimi ni moja wa fan wa Joh yule sio huyu wa leo.
 
Mimi ni moja wa fan wa Joh yule sio huyu wa leo.
Ingawa huwa wanasema sanaa haina mipaka na kwamba anachokitoa msanii na namna anavyokitoa ni feelings zake so huwezi kupangia hisia zake ila Joh huyu toleo jipya simsomi kabisa
 
JOH MAKINI HAMTAFUTI FID Q, ANATAFUTA KIKI. umeelewa muraa?
 
Usiku naisikiliza Kiberiti ya Fid Q naona kama kapwaya kimtindo hasa kumshirikisha Saida Kalori inawezekana ni vile nilikua na expectation kubwa sana kwa ujio wake mpya,sijaelewa kwa nini aliamua kuongea pale mwishoni inaweza kua ni idea poa ila kwangu haijakaa vizuri sana natamani angenyonga verse ya 3.
Ukisikiliza verse zake mbili utagundua Fid Q ana vitu vingi sana kichwani bila kujali anavitoa wapi ila anafikirisha sana kama utamsikiliza kwa makini,Ni heri nimsikilize Fid Q alie-flop kuliko uyo Joh Makini akiwa kwenye ubora wake jamaa sijawahi hata kumuelewa hua anataka kufanya nini.
Ni heri ya thierry henry mzee kuliko giroud kijana.
 
Back
Top Bottom