Johari: Bado nipo RJ Company na sio Ray

Johari: Bado nipo RJ Company na sio Ray

hahahaaaaaa I will never know who is who till they merge things......

ila we mambo yako bana hivi ile ishu ya yule dogo iliishia wapi!

U mean mtoto wa billionare pitgan aka ras wiser aka Matola??? Yule dogo nimejitolea kumsomesha mpaka chuo kikuu si unajua ndugu yetu Matola kachoka mbayaa bado kua chizi tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu uko deep sana, nilishafanyakazi ya kutumwa na kampuni moja nje ya nchi, yani nilivyokuja Bongo nikaona ni mauzauza tu, tena sisi ilikuwa ni commercial advertisemt for tv nikiwa kwenye moja ya department uliyoitaja hapo juu kiukweli sisi bado sana.

Wakati mimi nikiwa nashangaa film industry yetu miaka 10 baadaye ndio ile kampuni niliyokuwa nayo ndio imeanza kufanya kazi za kutengeneza movie.

unaweza ukapima mwenyewe after 10 years net ndio kampuni imejiridhisha sasa wapo kamili na wana kazi nyingi sana nchini Australia.

Bahati mbaya mimi si mpenzi wa bongo movie ila ikitokea by coincidence kwenye tv station nakutana na hizo movie huwa sioni tofauti yao na dvd za harusi, kuna siku niliwahi kumtania kijana mmoja nikamuuliza hivi huwa mnashoot kwa kutumia simu au ni vifaa gani huwa mnatumia?

Sijasomea hii kazi ila ningekuwa na interest ya kuleta bongo ile experience yangu huenda ningechangia mageuxi fulani, lakini bado kuna changamoto ya cost kwahiyo tuwahurumie.

Sisi ilikuwa kama ni tangazo tunafanyia nyumbani kwa mtu anakuja mtaalam maalum wa decoration na nyumba yote inapakwa rangi inayopendekezwa na baada ya kumaliza kazi mwenye nyumba ni chaguo lake ibaki rangi ileile au tumrudishie rangi iliyokuwepo awali, na wazungu wengine kwa jeuri anataka mrudishe ile rangi yake ya awali.

Sasa hawa kina Ray sijui kama huwa hata kukodi masofa huwa wanakumbuka kubadili mandhari?

Wewe usituchoshe kamdanganye yule mwanamke aliyekukimbia...eti ulienda australia..labda australia ya matomba


Kithibitisho kipo hapa chini


https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=638575
 
Back
Top Bottom