Johari hongera kwa kupata bwana wa Kizungu

tehe tehe tehe
 
Basi yule Muuza bucha akaona hii shughuli tena. Akiwa bado anatamani ile fedha, kwa bashasha na mbwembwe zilizojazwa na ukarimu wa kinafki akamwambia yule mwanamama, Oooo...pole sana mama, Kuku waliobaki ni hao wawili tu na mmoja tayali aliisha lipiwa na mteja wangu mwingine atampitia muda si mrefu.

Niliamua kukufanyia feva ya kukubadirishia ila sitaweza kukuuzia wote wawili, chukua mmoja kwa leo na nitakutolea shilingi mia tano ukanunue vitunguu.

Itaendelea....(narudisha kijiti kwa Bujibuji)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Muuza Nyama:Huyu mwengine ana order tayar
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…